MWANGA MPYA: TARURA YAPELEKA ZAIDI YA SH50BILIONI MRADI WA BARABARA MKOANI IRINGA
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza utekelezaji wa mradi wa Uboreshaji wa Barabara za Vijijini kwa Ushirikishaji na Ufunguaji wa Fursa za Kijamii na Kiuchumi “Roads to Inclusion and Social Economic Opportunities (RISE)” katika mkoa wa Iringa lengo likiwa ni kujenga barabara kwa kiwango cha lami zenye urefu wa Kilomita 33 ili […]
Read More