MHANDISI JOYCE KISAMO WA WIZARA YA NISHATI ATWAA TUZO YA KIMATAIFA YA LUCE 2024
π΄Ni Tuzo ya kutambua mchango wa mwanamke aliyefanya vizuri katika nishati, mazingira na sekta endelevu Na. Mwandishi wetuMtanzania Mha. Joyce Kisamo kutoka Wizara ya Nishati amekua muafrika wa pili kutwaa tuzo ya LUCE ya mwanamke aliyefanya vizuri katika nishati, mazingira na sekta endelevu. Mnigeria Onyinye Anene-Nzelu ambaye ni Mkuu wa Gridi Ndogo katika Ufikiaji wa […]
Read More