KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA CCM JIMBO LA MBARALI ZAPAMBA MOTO
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mary Chatanda ambae pia ni Mwenyekiti wa Wanawake Tanzania (UWT) ameongoza kampeni za Uchaguzi Mdogo wa CCM Jimbo la Mbarali leo Tarehe 14/09/2023 katika viwanja vya Ubaruku Saccos kata ya Ubaruku . Mwenyekiti wa UWT Taifa amesema Bahati akichaguliwa atakuwa kiungo kati ya wanambarali na […]
Read More