TUTAENDELEA KUIMARISHA USALAMA WA NCHI DHIDI YA MAJANGA NA MAAFA-MAJALIWA
Ametoa kauli hiyo leo (Alhamisi, Machi 14, 2024) wakati wa ufungaji wa mafuzo ya zoezi la utayari dhidi ya dharura za kikemikali na kimionzi Tanzania, katika viwanja vya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Bandarini jijini Dar es Salaam. Amesema kuwa moja ya jitihada hizo ni pamoja na kukamilisha maandalizi ya nyaraka mbili muhimu za Mpango […]
Read More