MAKONDA AWAWEKA MGUU SAWA CCM, KAMATI ZA SIASA ZAANZA KAZI, WAKAGUA MIRADI YA BARABARA DAR ES SALAAM
Kamati ya siasa ya Mkoa wa Dar es salaam leo Novemba 30, 2023 imefanya ziara ya kukagua barabara zinazojengwa na kusimamiwa na TANROADS ikiwemo inayotoka Kibamba shule kuelekea Mpiji Magohe yenye urefu wa KM 9.2 kwa gharama ya bilioni 2.7 kwa kiwango cha lami. Wakiongozwa na Katibu wa CCM Mkoa wa DSM Adam Ngalawa amesema […]
Read More