WAZIRI ULEGA AAGIZA KUPUMZISHWA KWA MIEZI MITATU SHUGHULI ZA UVUVI ZIWA TANGANYIKA, ATUMBUA MMOJA

WAZIRI ULEGA AAGIZA KUPUMZISHWA KWA MIEZI MITATU SHUGHULI ZA UVUVI ZIWA TANGANYIKA, ATUMBUA MMOJA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega ametangaza mpango wa Serikali wa kupumzisha  shughuli za uvuvi katika ziwa Tanganyika kwa miezi mitatu ili kuwezesha samaki kuzaliana na kuongeza tija kwa wavuvi wanaofanya shughuli zao ziwani humo. Waziri Ulega  ametoa kauli ya serikali kwa nyakati tofauti ambapo awali alitoa kauli hiyo akizungumza na wadau wa uvuvi kwenye ofisi ya Mkuu wa mkoa […]

Read More
 WAZIRI ULEGA: WAVUVI TUMIENI BOTI KUBORESHA MAISHA YENU

WAZIRI ULEGA: WAVUVI TUMIENI BOTI KUBORESHA MAISHA YENU

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amewataka wavuvi kuchangamkia fursa iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan ya ugawaji wa boti na vizimba ili waweze kufanya shughuli zao kisasa na kuboresha maisha yao. Waziri Ulega ametoa rai hiyo alipofanya ziara katika Soko la Samaki la Kimataifa la Kilumba mkoani Mwanza, alipowatembelea wavuvi hao kwa lengo […]

Read More