DKT BITEKO AHAIDI KUKAMILIKA KWA MIRADI YOTE NISHATI INAYOPATIWA FEDHA NA SERIKALI
#Kamati zaipongeza Wizara kwa kutekeleza miradi ya Nishati nchini #Dkt. Biteko Asisitiza Miradi ya CNG kupewa Kipaumbele Imeelezwa kuwa, miradi yote inayopatiwa fedha na Serikali iliyopo Wizara ya Nishati itakamilika kwa wakati ili Sekta hiyo iwe na mchango mkubwa katika Pato la Taifa. Hayo yamebainishwa Novemba 5, 2023 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa […]
Read More