WAZIRI ULEGA: WAVUVI TUMIENI BOTI KUBORESHA MAISHA YENU

WAZIRI ULEGA: WAVUVI TUMIENI BOTI KUBORESHA MAISHA YENU

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amewataka wavuvi kuchangamkia fursa iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan ya ugawaji wa boti na vizimba ili waweze kufanya shughuli zao kisasa na kuboresha maisha yao. Waziri Ulega ametoa rai hiyo alipofanya ziara katika Soko la Samaki la Kimataifa la Kilumba mkoani Mwanza, alipowatembelea wavuvi hao kwa lengo […]

Read More
 SERIKALI KUENDELEA KUTEKELEZA MPANGO WA UNYWAJI MAZIWA SHULENI

SERIKALI KUENDELEA KUTEKELEZA MPANGO WA UNYWAJI MAZIWA SHULENI

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti amesema serikali inaendele kutekeleza mpango wa unywaji maziwa shuleni kwa lengo la kuhakikisha afya za watoto zinaendelea kuimarika. Naibu Waziri Mnyeti ameyasema hayo leo (27.09.2023) wakati akihitimisha Maadhimisho ya Siku ya Unywaji Maziwa Shuleni yaliyofanyika katika viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza. Mnyeti amesema serikali imedhamiria kuhakikisha watoto […]

Read More
 MAJALIWA AKAGUA SOKO LA KIMATAIFA LA MAZAO YA UVUVI KAGERA, ATOA MAELEKEZO

MAJALIWA AKAGUA SOKO LA KIMATAIFA LA MAZAO YA UVUVI KAGERA, ATOA MAELEKEZO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 24, 2023 ametembelea Soko la Kimataifa la mazao ya Uvuvi la Katembe-Magarini lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, Mkoani Kagera. Akizungumza na wakazi wa eneo hilo Mheshimiwa Majaliwa amesema Serikali imeweka utaratibu kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi ili kuwawezesha wavuvi kufanya shughuli zao kwa tija. Amesema kuwa Rais […]

Read More