MOI YAANZA KUTOA MATIBABU KWA MTOTO GODSON KWA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA.
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili MOI imeanza kutoa matibabu ya kibingwa kwa Godson Mwaipopo (7) ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa Kambi ya Matibabu ya kibingwa yaliyokuwa yanafanyika Mkoani Arusha. Mtoto Godson ni miongoni mwa mamia ya watoto na […]
Read More