“WEKEZENI KATIKA NISHATI SAFI YA KUPIKIA”, WAZIRI JAFO AWAAMBIA WADAU WA MAZINGIRA
Serikali imetoa wito kwa mashirika na wadau mbalimbali wa mazingira kuwekeza katika nishati safi ya kupikia ili kurahisisha upatikanaji wa nishati hiyo kwa wananchi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametoa wito huo alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la UpEnergy Tanzania Bi. Rehema […]
Read More