MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN WATATUZI WA CHANGAMOTO ZA KISHERIA
Je unapitia changamoto yoyote ya kisheria? Basi Mchongo ni Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) Mama Samia Legal Aid Campaign imelenga kutoa Msaada wa Kisheria bure kwa watu wote, bila kujali jinsia wala hali ya mtu. Mpaka sasa huduma hii, imefika katika Mikoa 6, Halmashauri 42, Kata 452 na Vijiji/Mitaa 1,348, ambapo imewagusa moja kwa […]
Read More