WAZIRI KAIRUKI ACHARUKA, AITAKA TAWA KUONGEZA KASI YA UKUSANYAJI WA MAOATO

WAZIRI KAIRUKI ACHARUKA, AITAKA TAWA KUONGEZA KASI YA UKUSANYAJI WA MAOATO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) ameitaka menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kuhakikisha inaongeza makusanyo yake ya mapato ya ndani zaidi ya lengo iliyojiwekea la kukusanya shilingi bilioni 78.4 kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Waziri Kairuki ameyasema hayo leo Septemba 20, 2023 katika kikao kati yake na Menejimenti ya […]

Read More