SIMANZI, VILIO VYATAWALA MWILI WA MTANZANIA ALIYEUAWA NCHINI ISRAEL UKIWASILI NYUMBANI KWAO ROMBO
Simanzi vilio na huzuni imetawala Katika kijiji cha Kirwa Wilaya ya Rombo,mkoani Kilimanjaro baada ya mwili wa marehemu Clemence Mtenga (22) Mtanzania aliyeuawa nchini Israel ukiwa umewasili nyumbani kwao Bongonews imeshuhudia msafara wa kuutoa mwili katika hospitali ya huruma ulikokuwa umehifadhiwa, ukiongozwa na mkuu wa kituo cha polisi (OCD) Rombo hadi nyumbani na ulibebwa na […]
Read More