KASI YA WANANCHI KUHAMA NGORONGORO YAONGEZEKA, SERIKALI YAPONGEZA
Serikali imelipongeza wimbi kubwa la wananchi wanaopisha kwa hiari zoezi la uhifadhi kwenye Hifadhi ya Ngorongoro na kuhamia maeneo mengine. Kauli hiyo imetolewa leo Februari 1, 2024 na Kamishina wa Uhifadhi wa Ngorongoro, Richard Kiiza wakati akiliaga kundi la takribani wananchi 600 walioanza safari majira ya saa 12:30 asubuhi kutoka ofisi ya zamani ya Mamlaka […]
Read More