“TUNA WAJIBU WA KULINDA NCHI YETU” WAZIRI NAPE

“TUNA WAJIBU WA KULINDA NCHI YETU” WAZIRI NAPE

NA PETER EDSON Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amekutana na wanahabari kutoka Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) ambapo amewaasa kutumia vizuri majukwaa yao ya habari mtandaoni kujipatia kipato kukuza maisha yao. Waziri Nape ameyasema hayo alipokutana na wadau wa jumuiya hiyo tarehe 5 […]

Read More
 WAZIRI KAIRUKI APOKEA MATOKEO YA SENSA YA WANYAMAPORI ARUSHA

WAZIRI KAIRUKI APOKEA MATOKEO YA SENSA YA WANYAMAPORI ARUSHA

Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Angellah Kairuki anaongoza hafla maalum ya kutangaza matokeo ya Sensa ya wanyamapori na kuzindua ripoti na taarifa ya watalii waliotembelea nchini Tanzania mwaka 2023. Wizara ya Maliasili na Utalii inasema lengo la kufanya Sensa hiyo ya wanyamapori ni kuhakikisha uhifadhi endelevu na kutoa takwimu sahihi juu ya uwepo, idadi […]

Read More
 MAJALIWA: SERIKALI MBIONI KUANZISHA BENKI YA USHIRIKA

MAJALIWA: SERIKALI MBIONI KUANZISHA BENKI YA USHIRIKA

Amesema kiasi hicho ni sawa na asilimia 78.5 ya mtaji wa sh. bilioni 20 zinazohitajika na kwamba kuanzishwa kwa benki hiyo, kutaviwezesha vyama vya ushirika kupata mikopo yenye riba nafuu na kuendesha shughuli zake kwa tija. Ameyasema hayo leo (Jumatano, Aprili 17, 2024) wakati akizungumza na wadau wa Kongamano la Kumi la Wadau wa Sekta […]

Read More
 WAZIRI MAKAMBA AKERWA NA FITINA NDANI YA CCM, ASEMA 2025 FOMU NI MOJA TU KWA RAIS SAMIA

WAZIRI MAKAMBA AKERWA NA FITINA NDANI YA CCM, ASEMA 2025 FOMU NI MOJA TU KWA RAIS SAMIA

Raisa Said,BumbuliWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Bumbuli  January Makamba Amesema    kwenye Chama Cha Mapinduzi CCM  kumekuwa na mambo ya kufitiniana hasa pale Rais aliyepo madarakani anapotakiwa kuendelea na muhula wa pili. Hayo ameyasema  kijijini kwao Mahezangulu Halmashauri ya  Bumbuli Mkoani Tanga  wakati wa Maulidi ya 40 inayofanyika […]

Read More
 RC CHALAMILA AWAALIKA WANANCHI DAR KUMUAGA HAYATI MWINYI UWANJA WA UHURU

RC CHALAMILA AWAALIKA WANANCHI DAR KUMUAGA HAYATI MWINYI UWANJA WA UHURU

RC Chalamila ametaja njia ambayo mwili wa Hayati utapitishwa ukitokea Mikocheni, utapelekwa Kinondoni Bakwata kwa ajili ya Dua ambayo itaongonzwa Shekh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber, ukiwa inaelekea uwanja wa Uhuru, utapita Kinondoni- Kigogo- Ilala Boma-Veta-DUCE hadi Uwanja wa Uhuru-Temeke Aidha RC Chalamila amesema kuanzia Saa 2:00 Asubuhi uwanja wa Uhuru uko wazi wananchi […]

Read More
 RAIS DKT. SAMIA AMEDHAMIRIA KUWAINUA WANAWAKE- WAZIRI DKT.GWAJIMA

RAIS DKT. SAMIA AMEDHAMIRIA KUWAINUA WANAWAKE- WAZIRI DKT.GWAJIMA

ARUSHA: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuwainua wanawake kiuchumi kwa kuweka msingi unaochochea mabadiliko yanayojielekeza kukua kiuchumi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima wakati wa Maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya Mwanamke anayeishi […]

Read More