RAIS SAMIA ATAMANI MRADI WA JNHPP UANZE HARAKA – DKT. BITEKO
#Mradi wa JNHPP umefikia asilimia 92.74 #JNHPP kuwa Mradi wa mfano Afrika Imeelezwa kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatamani Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) uanze mapema ili Watanzania wapate umeme wa uhakika. Hayo yameelezwa leo Oktoba 24, 2023 na Naibu Waziri Mkuu […]
Read More