RAIS SAMIA HATAKI MISUKOSUKO KWA WAFANYABIASHARA- DKT. BITEKO
π Ataka Watendaji Warasimu wajionee aibu;watimize wajibu π Watumishi wakumbushwa shughuli za Serikali kufanyika Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan amejipambanua kama mlezi wa Sekta binafsi nchini na hataki kuona wafanyabiashara wanapata misukosuko wakati wa utekelezaji wa majukumu yao. Amesema maono ya Rais […]
Read More