MAJALIWA ATAKA WATHAMINI WAWE WAADILIFU

MAJALIWA ATAKA WATHAMINI WAWE WAADILIFU

*Asisitiza kazi ya uthamini si ya wababaishaji au vishoka WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wathamini wote wawe waadilifu, wenye weledi na wazingatie miiko ya taaluma katika kazi zao za kila siku. Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa wathamini ni watu muhimu katika kufanikisha mipango ya maendeleo ya Taifa. “Mnapaswa kuwa waadilifu na kuzingatia thamani halisi ya ardhi, […]

Read More
 MAJALIWA AWAPIGIA MAGOTI VIONGOZI WA DINI “WAHAMASISHENI WAUMINI WENU KUFANYA KAZI KWA WELEDI”

MAJALIWA AWAPIGIA MAGOTI VIONGOZI WA DINI “WAHAMASISHENI WAUMINI WENU KUFANYA KAZI KWA WELEDI”

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini kuwahimiza vijana kufanya kazi kwa staha, weledi na uadilifu ili kuzitumia rasilimali zilizopo nchini kujiletea maendeleo. “Nchi yetu imebarikiwa fursa nyingi za kiuchumi, ili jamii ione matunda ya uwepo wa fursa hizo tunategemea sana nguvu kazi ya vijana katika kuzitumia rasilimali zilizopo” Ametoa wito huo […]

Read More
 WAZIRI MKUU AFUNGA MAFUNZO YA UHAMIAJI, AHIMIZA UADILIFU

WAZIRI MKUU AFUNGA MAFUNZO YA UHAMIAJI, AHIMIZA UADILIFU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wahitimu 521 wa mafunzo ya Kozi Na. 01/2023 wakatumie vema ujuzi na maarifa waliyoyapata katika kudhibiti vitendo vya uhalifu hususan maeneo ya vipenyo, vituo na mipakani. Ametoa wito huo leo Ijumaa (Septemba 29, 2023) alipofunga mafunzo hayo kwa askari wa Uhamiaji katika Chuo cha Mafunzo ya Uhamiaji cha Raphael Kubaga, […]

Read More
 MJADALA WA BANDARI USITUGAWE WATANZANIA

MJADALA WA BANDARI USITUGAWE WATANZANIA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mjadala unaoendelea kuhusu uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam usiligawe Taifa kwa sababu Serikali ya awamu ya sita ni sikivu. “Mjadala unaoendelea kuhusu bandari ya Dar es Salaam usitugawe Watanzania. Usipelekee tukasambaratika. Tusitumie nafasi hiyo kutugawa kiitikadi, kidini au kisiasa. Sisi ni wamoja na jambo letu ni moja. Serikali […]

Read More
 UCHUNGUZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA: KIFO CHA MWANAFUNZI WA UDOM HAKIHUSIANI NA AJALI YA NAIBU WAZIRI DKT. FESTO DUGANGE

UCHUNGUZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA: KIFO CHA MWANAFUNZI WA UDOM HAKIHUSIANI NA AJALI YA NAIBU WAZIRI DKT. FESTO DUGANGE

Tarehe 10 Mei, 2023, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) iliyokuwa na nia ya kufanya uchunguzi juu ya kifo cha Nusura Hassan Abdallah, aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ilitoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari. Uchunguzi huo ulifanywa kwa mujibu wa Sheria ya THBUB, Sura ya 391, ambayo […]

Read More
 DKT. NCHEMBA ATOA AGIZO LA KUTAFUTA SULUHU YA UPUNGUFU WA DOLA ZA MAREKANI KATIKA SOKO LA FEDHA

DKT. NCHEMBA ATOA AGIZO LA KUTAFUTA SULUHU YA UPUNGUFU WA DOLA ZA MAREKANI KATIKA SOKO LA FEDHA

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewaagiza wataalamu wa Wizara ya Fedha na Mipango na ujumbe kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kujadili namna ya kushughulikia athari za upungufu wa dola za Kimarekani katika mzunguko wa fedha ili kunusuru uchumi wa nchi zinazoendelea. Mhe. Dkt. Nchemba (Mb) ametoa maagizo […]

Read More