TRILIONI 1.29 ZIMETUMIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA ELIMU-MAJALIWA

TRILIONI 1.29 ZIMETUMIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA ELIMU-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka miwili imetumia shilingi trilioni 1.29 kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia. Amesema kati ya fedha hizo shilingi bilioni 454.3 zimetolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya shule za elimu ya […]

Read More
 TANZANIA YATOA WITO KWA MATAIFA TAJIRI DUNIANI*

TANZANIA YATOA WITO KWA MATAIFA TAJIRI DUNIANI*

_Yataka yasaidie kukuza uchumi wa nchi zinazoendelea_ SERIKALI imezitaka Jumuiya za Kimataifa zisaidie kukuza uchumi wa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania ili kupanua wigo wa ushiriki wa wananchi wake. “Tumeliomba jukwaa hili lione namna ya kushirikisha nchi zinazoendelea kuboresha uchumi wetu ndani ya nchi kwa kukuza biashara na milango ya uwekezaji na namna nyingine zinazoweza kusaidia […]

Read More
 MAJALIWA AWAPIGIA MAGOTI VIONGOZI WA DINI “WAHAMASISHENI WAUMINI WENU KUFANYA KAZI KWA WELEDI”

MAJALIWA AWAPIGIA MAGOTI VIONGOZI WA DINI “WAHAMASISHENI WAUMINI WENU KUFANYA KAZI KWA WELEDI”

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini kuwahimiza vijana kufanya kazi kwa staha, weledi na uadilifu ili kuzitumia rasilimali zilizopo nchini kujiletea maendeleo. “Nchi yetu imebarikiwa fursa nyingi za kiuchumi, ili jamii ione matunda ya uwepo wa fursa hizo tunategemea sana nguvu kazi ya vijana katika kuzitumia rasilimali zilizopo” Ametoa wito huo […]

Read More
 WAZIRI MKUU AFUNGA MAFUNZO YA UHAMIAJI, AHIMIZA UADILIFU

WAZIRI MKUU AFUNGA MAFUNZO YA UHAMIAJI, AHIMIZA UADILIFU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wahitimu 521 wa mafunzo ya Kozi Na. 01/2023 wakatumie vema ujuzi na maarifa waliyoyapata katika kudhibiti vitendo vya uhalifu hususan maeneo ya vipenyo, vituo na mipakani. Ametoa wito huo leo Ijumaa (Septemba 29, 2023) alipofunga mafunzo hayo kwa askari wa Uhamiaji katika Chuo cha Mafunzo ya Uhamiaji cha Raphael Kubaga, […]

Read More
 SH900MILIONI KUBORESHA VETA KAMACHUMU, WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WAKE, ATOA MAELEKEZO


SH900MILIONI KUBORESHA VETA KAMACHUMU, WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WAKE, ATOA MAELEKEZO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 24, 2023 amekagua uboreshaji wa miundombinu kwenye Chuo cha Ufundi Standi kilichopo kata ya Kijiji cha Bushagara, Kamachumu mkoani Kagera. Maboresho ya chuo hicho yatagharimu shilingi milioni 903.5 ambapo mpaka sasa kiasi cha shilingi milioni 220.9 zimekwisha tumika. Maboresho hayo yatawezesha ujenzi wa Bweni la wavulana, Bweni la wasichana, […]

Read More
 MJADALA WA BANDARI USITUGAWE WATANZANIA

MJADALA WA BANDARI USITUGAWE WATANZANIA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mjadala unaoendelea kuhusu uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam usiligawe Taifa kwa sababu Serikali ya awamu ya sita ni sikivu. “Mjadala unaoendelea kuhusu bandari ya Dar es Salaam usitugawe Watanzania. Usipelekee tukasambaratika. Tusitumie nafasi hiyo kutugawa kiitikadi, kidini au kisiasa. Sisi ni wamoja na jambo letu ni moja. Serikali […]

Read More
 MAJALIWA: WATANZANIA TUMIENI NISHATI MBADALA

MAJALIWA: WATANZANIA TUMIENI NISHATI MBADALA

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa Watanzania kutumia nishati mbadala kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Serikali imeunda kamati ya kitaifa kutoa elimu na kuhamasisha matumizi ya nishati mbadala. Waziri Mkuu pia amewataka wajasiriamali kutumia rasilimali za ndani kuzalisha nishati mbadala. Amesifu jitihada za Wakala wa Umeme Vijijini (REA) katika […]

Read More