MAJALIWA: WATENDAJI WA SERIKALI ONDOENI UKIRITIMBA UTOAJI WA HABARI

MAJALIWA: WATENDAJI WA SERIKALI ONDOENI UKIRITIMBA UTOAJI WA HABARI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi na watendaji wa Serikali waondoe ukiritimba kwenye suala la upatikanaji wa habari ili kuwawezesha wanahabari kupata taarifa sahihi na kufanya kazi zao kwa ufanisi. “Viongozi na Watendaji wa Serikali na Mashirika zingatieni Sheria ya Upatikanaji wa Taarifa ya Mwaka 2016 na ondoeni ukiritimba katika suala la upatikanaji wa habari […]

Read More
 WAZIRI MKUU, BALOZI WA SAUDI ARABIA WAKUTANA WAJADILI KUHUSU KILIMO,UVUVI

WAZIRI MKUU, BALOZI WA SAUDI ARABIA WAKUTANA WAJADILI KUHUSU KILIMO,UVUVI

*Aalika wawekezaji sekta ya uvuvi Tanzania Bara na Zanzibar WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa Saudi Arabia nchini, Yahya Ahmed Okeish na kujadiliana masuala mbalimbali yakiwemo ya kilimo, uvuvi na uwekezaji. Akizungumza na balozi huyo leo (Jumatano, Desemba 13, 2023) ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Waziri Mkuu amesema anatambua matunda ya uhusiano wa […]

Read More
 NUKUU ZA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOANZA ZIARA MKOANI SONGWE, ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA

NUKUU ZA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOANZA ZIARA MKOANI SONGWE, ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA

“Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuleta fedha kwa utaratibu ili majengo yakamilike. Jengo la magonjwa ya dharura , maabara na jengo jipya, haya majengo yanaendelea kujengwa na bado yataendelea kujengwa” “Nimeanza ziara Leo kwa kuja kuona Hospitali yetu ya rufaa mkoa wa Songwe ambayo imeendelea kujengwa na nimepita huko ndani imeanza kutumika lakini viwango […]

Read More
 MKURUGENZI WA FAO AIPONGEZA TANZANIA UTEKELEZA MPANGO WA BBT

MKURUGENZI WA FAO AIPONGEZA TANZANIA UTEKELEZA MPANGO WA BBT

MKURUGENZI MKUU wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) Dkt. Qu Dongyu amesema kuwa Shirika hilo limevutiwa na mradi wa kuwawezesha vijana unaotekelezwa na Serikali ya Tanzania wa Jenga Kesho Iliyobora “Building Better Tomorrow” (BBT). “FAO tutaunga mkono mradi huu ili Serikali ya Tanzania iweze kutimiza malengo ya kuwainua vijana na […]

Read More
 FAO YAAHIDI KUIUNGA MKONO TANZANIA – MAJALIWA

FAO YAAHIDI KUIUNGA MKONO TANZANIA – MAJALIWA

Ni katika mikakati yake ya kukuza na kuendeleza sekta ya kilimo WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limeahidi kuunga mkono jitihada za Serikali ya Tanzania katika kukuza na kuendeleza sekta ya kilimo. Amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar […]

Read More
 UPIGAJI MAOKOTO WAWAHAMISHA MAOFISA WANNE WA TRA MUTUKULA,

UPIGAJI MAOKOTO WAWAHAMISHA MAOFISA WANNE WA TRA MUTUKULA,

• Asisitiza Rais Samia anataka uadilifu Serikalini •Ahimiza mji wa Mutukula ujengwe kibiashara WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) cha Mutukula, Bw. Feisal Nassoro na wenzake watatu warudishwe makao makuu mara moja na kuchukuliwa hatua za kinidhamu. Watumishi wengine ni Bw. Gerald Mabula, Bw. George Mwakitalu […]

Read More