BAJETI WIZARA YA AFYA YASOMWA BUNGENI, ASILIMA 52 MAENDELEO, ASILIMIA 48 MATUMIZI YA KAWAIDA
“Wizara imepanga kutumia Shilingi bilioni mia sita sabini na tisa, milioni mia tano sabini, laki mbili na elfu arubaini na sita (679,570,246,000.00) kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo sawa na asilimia 52 ya bajeti tengwa. Kati ya hizo, fedha za ndani ni Shilingi bilioni mia nne kumi na sita, milioni mia mbili hamsini na nane, […]
Read More