KITAIFA

UJENZI VIVUKO VIPYA VINNE MWANZA WAFIKIA ASILIMIA 60%

UJENZI VIVUKO VIPYA VINNE MWANZA WAFIKIA ASILIMIA 60%

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) Lazaro N. Kilahala,
mwishoni mwa wiki hii ametembelea Yadi ya Songoro iliyoko Wilayani Ilemela Mkoani Mwanza kukagua maendeleo ya ujenzi wa vivuko vipya vinne na ukarabati wa vivuko unaoendelea Mkoani humo. Vivuko hivyo vinne vinavyojengwa ni pamoja na kivuko kitakachokwenda kutoa huduma kati ya Ijinga na Kahangala Wilayani Magu, kivuko kitakachokwenda kutoa huduma kati ya Bwiro na Bukondo Wilayani Ukerewe, kivuko kitakachokwenda kutoa huduma kati ya Kisorya na Rugezi Wilayani Ukerewe pamoja na kivuko kitakachokwenda kutoa huduma kati ya Nyakaliro na Kome Wilayani Sengerema, vyote vikiwa Mkoani Mwanza.
Akizungumza mara baada ya kukagua vivuko hivyo, Mtendaji Mkuu amesema ujenzi wa vivuko hivyo unakwenda vizuri na kwa wastani vimefikia asilimia sitini (60%) ya ujenzi wake. Mtendaji Mkuu amesema vifaa karibia vyote ambavyo vilikuwa vinasubiriwa kwa ajili ya kufungwa kwenye vivuko hivyo vipya tayari vimekwishawasili bandarini na tayari mkandarasi wa ujenzi wa vivuko hivyo amekwishalipwa malipo ya awali na taratibu za kuvitoa vifaa hivyo bandarini inaendelea.
‘’Kama ambavyo tumejionea ujenzi unakwenda vizuri, hivi ni vivuko vipya kabisa vinavyojengwa na Serikali yetu chini ya Rais wetu Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, ni Imani yetu kwamba kati ya mwezi huu wa nane mpaka mwezi wa kumi na mbili hatua kubwa sana ya ujenzi itakuwa imefanyika katika vivuko hivi.’’ Amesema Kilahala.
Vilevile, Mtendaji Mkuu ambaye aliambatana na Meneja wa Vivuko Kanda ya Ziwa na Magharibi
Mhandisi Vitalis Bilauri, amekagua pia maendeleo ya ukarabati wa vivuko unaoendelea katika Yadi hiyo ambapo amesema tayari kivuko cha MV. MISUNGWI ambacho kilikuwa
kinakarabatiwa na Mkandarasi Songoro kimerejea kutoa huduma katika eneo la Kigongo na Busisi.
Kilahala ameongeza kuwa kivuko cha MV. UJENZI nacho kimekamilika na tayari kimerudishwa Kisorya Rugezi kuendelea kutoa huduma, kivuko cha MV. MUSOMA tayari kimefanyiwa majaribio na kimekamilika na tayari kimerejeshwa eneo la Musoma Kinesi kuendelea kutoa huduma, aidha ameongeza kuwa kivuko cha MV.MARA kiko katika hatua za mwisho za ukarabati wake sambamba na kivuko cha MV. Nyerere, ameongeza Mtendaji mkuu huku akitoa shukrani kwa Serikali kwa kuendelea kufadhili miradi hiyo.
“Kwa ujumla tunaishukuru sana Serikali yetu kwa mkazo mkubwa ambao inaweka kwenye kuhakikisha vivuko vyetu vinafanyiwa ukarabati na vingine vipya vinajengwa kwa wakati ili viweze kuendelea kuboresha huduma kwa wananchi wetu, tunamshukuru sana Rais wetu Mhe.
Dkt Samia Suluhu Hassan, lakini pia tunaishukuru Wizara yetu ya Ujenzi na Uchukuzi chini ya Mhe. Waziri Prof. Makame Mbarawa na Katibu Mkuu wetu Balozi Dkt. Aisha Amour, kwakweli ni timu ya ushindi, ni timu ambayo inatusaidia inatuwezesha kufanya haya mambo na kwa ujumla inatuwezesha kuwahudumia Watanzania kwa ubora na ufanisi zaidi. ” Amemaliza Kilahala.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Songoro Major Songoro ametoa shukrani kwa TEMESA na Serikali kwa ujumla kwa utekelezaji wa miradi hiyo huku wakitoa kipaumbele kwa kampuni za Wazawa kutekeleza miradi hiyo kwani inasaidia kampuni hizo za wazawa kutoa ajira kwa vijana wa Kitanzania. Songoro amesema kwa sasa mafundi wake wanaendelea kufunga mifumo mbalimbali ikiwemo ufungaji wa mifumo ya haidroliki ambayo inatumika kunyanyua na kushusha milango ya kivuko, mifumo ya mabomba, mifumo ya zimamoto pamoja na mifumo ya utoaji maji taka kwenye vivuko.
Aidha, Meneja wa Vivuko Kanda ya Ziwa na Magharibi Mhandisi Vitalis Bilauri amesema
wataendelea kumsimamia mkandarasi kwa ukaribu zaidi ili aweze kukamilisha ujenzi wa vivuko hivyo kwa wakati na ndani ya muda uliopangwa.
Ujenzi wa vivuko hivyo vipya na ukarabati wa vivuko pamoja na miundombinu yake ni
utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Tawala cha Mapinduzi ya mwaka 2020/2025.

About Author

Bongo News

42 Comments

    enabling you to create a doll that is uniquely yours.The process is straightforward and user- with detailed guides and helpful tips to assist you at every step.中国 エロ

    At SensualDolls, we promise to offer the most effective ラブドール 中古selling prices for all love dolls discovered available.

    シワや血管の一つ一つまでこだわり抜いた細かな技術で、オナドール本物の人間と見間違えるほど。

    he realizes that focusing on his current girlfriend helps him feel less anxious about his ever-deepening attachment.ラブドール エロIf we have difficulty taking space from our partner,

    Read this article to find エロ 人形out signs of scams and how to tell whether a website is legitimate or not.

    リアル ドールThe website offers an extensive range of customization options,allowing me to create a doll that perfectly fits my vision.

    Compassionate assertiveness will make you feel powerful and in control and convey your strength to the people you interact with.ラブドール エロ“I believe my thoughts and needs are reasonable,

    Applying these suggestions to a marriage may positively affect a relationship’s vitality.ラブドール 女性 用Partners are encouraged to take time to show how much they value their partner.

    For more on why romance fiction appeals to women,ラブドール オナホsee the chapter that analyzes their appeal in my book,

    sit in front of her and bend her midsection and neck so that youえろ 人形 can slide into her mouth though her head is with your lap.

    these effects are cumulative and dependence is inevitable.It would be interesting to study whether medicinal users tend to use more regularly than average recreational users.リアル ドール

    as cited in Brady,オナドール2008,

    女性 用 ラブドールor the death of a parent may trigger old trauma-related feelings.Loneliness may bring out the old feelings of being unworthy and unwanted.

    have been drawn from the longitudinal Framingham Heart study.The Library of Congress has purchased the entire Twitter archive,リアル エロ

    but most male dolls are almost similar, エロ 人形with about 2 overall body Body fat and several unappealing faces.

    with skin texture that feels incredibly lifelike and facial features that are exquisitely detailed.ensuring both durability and a truly authentic feel.リアル ドール

    and ethics with regard to sex — without lecturing,リアル ドールbut with guidance.

    エロ 人形you aren’t as likely to be interested in sex with him or her.Aiding arousal and orgasmBoth arousal and orgasm depend on a complex array of psychological and physical factors.

    and increased heart rate being the most common.ダッチワイフAs with any practice that involves bringing up painful feelings and experiences,

    as an early depiction of Shiva,ラブドール おすすめor proto-Shiva.

    大型 オナホ おすすめand explore helpful coping strategiesIt’s like you’re watching the Wizard of Oz in reverse.One day,

    エロ 人形and you likely have your preferences.Sometimes,

    If we do not teach them,they will learn primarily on the streets,オナホ おすすめ

    えろ 人形Is my approach annoying you? Are we on the same page? Did I get the worse job in this deal? Wait,I can’t hear you over the sound of our kids yelling at each other.

    and endless glasses of vino — it’s the definition of bliss for many,but especially busy moms.エロ ランジェリー

    interacting with our clients,オナホemployees,

    These dolls provide a realistic and ethical alternative to human patients jydollfor the practice of examinations and procedures, enhancing the learning experience without compromising patient dignity.

    the field has started to produce findings that approach “legitimate examples of mind reading.” For example,リアル エロ

    I really like your writing style, superb information, thanks for putting up :D. “Kennedy cooked the soup that Johnson had to eat.” by Konrad Adenauer.

    ラブドール アニメJust like in the case of real sex – the more you do it,the better you’ll get at it! Maintenance and CareTo ensure longevity and the best experience possible,

    The fact that boys were more likely to use condoms could be indicative of the belief in most cultures that girls were expected to remain chaste,リアル ドールwhile boys were not,

    sip wine in riverside “igloos,ベビー ドール ランジェリー” and warm up over a shared deep-dish pizza.

    however,does not typically entail taking on the outward persona of or transforming into and living outwardly as the opposite sex,エロ ラブドール

    ラブドール 男Sending all our love to your family,and our prayers for a safe New Year.

    The next morning is my final morning. I take a final naked swim and pack up all the clothesえろ 人形 I didn’t wear. My shuttle to the airport is shared with a strikingly attractive young couple.

    ラブドールYour ability to connect theoretical research with practical application is a true strength,making the article both informative and highly useful.

    with glow-in-the-dark necklaces and blinking rings inラブドール オナニー my sheets and empty strawberry-scented glasses on my nightstand. Everything hurts.

    In that vein, it’s important to take note of what toys are made ofラブドール av when buying them. Silicone toys, for instance, should never be used with silicone lube,

    ラブドール エロeat together,play together,

    自分に乱暴を働く(もしくはマンネリをつづける)オナドール相手を止めることはできません。

    ラブドール エロconcise,and engaging,

    non-invasive,ラブドール 画像EEG monitor and attached it to the heads of dogs.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *