SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari sasa inaendesha zoezi la uhakiki wa taarifa za anuani za makazi ili kwa wale ambao waliachwa na mchakato wa awamu ya kwanza waweze kupatiwa anuani sambamba na kuhakikiwa taarifa zao.
Zoezi hilo limeanza katika wilaya ya Ubungo kabla halijasambaa kwenye wilaya nyingine ni jukumu la wakuu wa wilaya, madiwani, wakurugenzi na wenye viti wa serikali za mitaa kuwahamasisha wananchi wote wa ubungo kuhakikisha wanatumia vyema nafasi hii kuwa wanafahamu anuani za makazi yao na kuwa zimesajiwa vyema ambao ndio mfumo wa msingi wa utambuzi nchini.
Akizungumza na waandishi wa Habari jana Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Albert Chalamila amewataka wakazi wa wilaya ya ubungo kupitia zoezi hili kuhakikisha wanajua namba ya nyumba anayoishi, jina la barabara yake na postcode ya kata yake ili kurahisisha kufikiwa na huduma kwa urahisi.
Mheshimiwa Chalamila ameziomba taasisi za dini kutoa ushirikiano wa dhati ili kufanikisha zoezi hili, wananchi waendelee kujiwekea miundombinu ya mfumo wa anuani za makazi yao yaani kuweka vibao vyenye namba za nyumba zao na nguzo za majina ya barabara ili manispaa ya ubungo kuwa na mfumo wake.
“Watendaji wa kata Pamoja na wa mitaa na wadau wengine wote mnawajibu wa kusimamia vyema zoezi hili katika maeneo yenu, pia wananchi wanapaswa kufahamu kwamba kibao cha namba, nyumba ndani ya mkoa wa Dar es Salaam hakitakiwi kuzidi shilingi elfu 5, sitamfumbia macho yeyote atakayefanya udanganyifu kupitia zoezi hili la anuani za makazi” amesema Chalamila
Hivyo, Chalamila amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan analiendesha zoezi hili kwa watanzania wote, mchakato huu unatumia fedha nyingi kwa mantiki hiyo watanzania na hasa wanaubungo waweze kujitikeza vizuri pale wanapopata elimu hii ili wizara iweze kufanya kazi yake kwa ukamilifu.
28 Comments
мостбет кыргызстан мостбет кыргызстан .
мостбет казино http://mostbet1009.com.kg .
мотбет https://www.mostbet1000.com.kg .
mostbet промокод https://mostbet1001.com.kg .
1win молдова 1win молдова .
mostbet kg отзывы http://mostbet1003.com.kg .
скачать мостбет скачать мостбет .
скачать 1win с официального сайта http://www.cah.forum24.ru/?1-19-0-00000716-000-0-0-1741702224 .
mostbet официальный сайт https://www.dubna.myqip.ru/?1-18-0-00000145-000-0-0-1741708632 .
1win http://www.aktivnoe.forum24.ru/?1-2-0-00000100-000-0-0-1741701286 .
1win казино http://aktivnoe.forum24.ru/?1-8-0-00000259-000-0-0-1741701621 .
aviator mostbet http://cah.forum24.ru/?1-19-0-00000715-000-0-0-1741702061/ .
wan win https://1win112.com.kg/ .
1вин кыргызстан 1вин кыргызстан .
мотбет https://mostbet1011.com.kg .
sports betting 1win 1win11.com.ng .
1win.pro https://1win715.ru/ .
баланс 1win http://1win708.ru .
1вин войти http://1win714.ru/ .
1win ставки официальный сайт http://1win709.ru .
1 win сайт https://1win717.ru .
1вин официальный сайт вход https://1win819.ru .
1wi. http://1win820.ru .
1vin kg 1vin kg .
motbet motbet .
служба поддержки мостбет номер телефона http://mostbet787.ru/ .
скачать мостбет http://mymoscow.forum24.ru/?1-2-0-00000718-000-0-0-1742357638 .
1win moldova download https://1win705.ru/ .