KITAIFA UCHAMBUZI

WAZIRI UMMY MWALIMU ATULIZA HOFU KUHUSU UGONJWA WA CORONA NA KUTOA FAFANUZI MUHIMU

WAZIRI UMMY MWALIMU ATULIZA HOFU KUHUSU UGONJWA WA CORONA NA KUTOA FAFANUZI MUHIMU

Kuhusu tetesi za uwepo wa #COVID19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la??

Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe 6 – 12 Mei 2023 Watu 6 kati ya 288 walithibitishwa kuwa na corona. Hii ikiwa ni pungufu ikilinganishwa na wiki ya tarehe 29/04/23 hadi 05/05/23. Hakuna kifo chochote kilicho thibitishwa kusababishwa na UVIKO-19

Wizara ya Afya inaendelea kufuatilia kwa karibu kwenye hospitali mbalimbali na tutawapa taarifa kamili.
Nawaomba wananchi muendelee kuzingatia kanuni za Afya na Usafi

About Author

Bongo News

245 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *