KITAIFA

WHATSAPP INAVYOOKOA MAISHA MARA

WHATSAPP INAVYOOKOA MAISHA MARA

Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa katika mtandao wa www.tanzaniaweb.com Machi 3, 2023,  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari anasema kuwa, hadi takwimu za mwezi Januari  2022 ni asilimia 27 ya  Watanzania ndio wanaomiliki simu janja na kuwa malengo ya Serikali ni kuhakikisha watumiaji wa  simu janja wanafikia 100%.

Ni wazi kwamba programu ya WhatsApp imezidi kuwa bora ili kuendelea kuwafurahisha watumiaji wake. Wengine husema bora ukose programu zingine kwenye simu lakini si WhatsApp.

WhatsApp imekuwa zaidi ya sehemu ya kuwasiliana na kutumiana jumbe zenye kufurahisha, lakini pia ni fursa ya kibiashara kwa wajanja. Watu wanataka kuuza au kujiweka karibu na wateja wao. Wengine ndio kwanza wanafungua biashara zao wakitafuta namna ya kujitangaza. Hivyo ni sawa kusema WhatsApp imekuwa kimbilio la wajasiriamali wengi wa Kitanzania. 

Watu wameanzisha makundi sogozi ya WhatsApp kwa lengo la kuendesha semina na mafunzo mbalimbali. Kuendesha vikundi vya kukopeshana, maarufu kama ‘vikoba’. Vilevile makundi haya yanatumika kuhamasisha watu kujumuika kwenye matamasha na warsha mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukutanisha marafiki wa siku nyingi.

Siku za hivi karibuni si ajabu hata vikao vya Sendoff na harusi vinaendeshwa kwenye makundi ya WhatsApp. Na hivyo progamu hii ya WhatsApp imekuwa njia rahisi ya kuwafikia watu kwa muda mfupi ndio maana katika Mkoa wa Mara hasa wataalamu wa afya wameamua kutumia progamu hii hasa kundi sogozi ili  kurahisisha utoaji huduma za haraka kwa wagonjwa na hivyo kukoa maisha ya wengi.

Aidha, Serikali imejenga na kuusambaza Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano ambao ndio njia kuu ya upatikanaji wa huduma mawasiliano ya simu na intaneti nchini ili wananchi na taasisi zote za umma ziweze kupata huduma za mawasiliano ya uhakika kwa gharama nafuu.

Kupitia uwekezaji huo wa Serikali unaoendelea kufanywa katika maeneo mbalimbali nchi nzima, umekuwa ukitoa fursa kwa wakazi wa Mkoa wa Mara na hasa katika maeneo ya Musoma Mjini wa kutumia simu janja na hususan mtandao wa WhatsApp katika kutoa taarifa za gafla za wagonjwa kabla ya kufikishwa hospitalini ili waweze kupatiwa matibabu.

Akizungumza katika mahojiano maalum hivi karibuni na mwandishi wa makala hii, Mkuu wa Idara ya Mama na Uzazi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara maarufu kama Hospitali ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere iliyojengwa katika eneo la Kwangwa, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Mama na Mtoto, Patrick Kenguru anasema kuwa kwa kawaida wagonjwa 10 hadi 15 hujifungua kwa siku na kuwa hapo baadae hospitali hiyo itaweza kuwahudumia akina mama wengi zaidi watakaoenda kujifungua kutoka Kanda ya Ziwa na mikoa ya jirani kwa kuwa vifaa vya kisasa vipo.

Aidha, Dkt. Kenguru  anaeleza kuwa kwa  mwezi wanahudumia  wagonjwa 300 hadi 400, hivyo wameweza  kupunguza vifo vya mama na mtoto ambapo hapo  awali akina mama walikuwa wanatumia zaidi mitishamba na hivyo kupelekea vifo.

“Tunatumia kundi sogozi la WhatsApp (MPSDR Group) kupata taarifa za wagonjwa na hivyo tunawasaidia kutibu na kuokoa maisha, kwa Mkoa huu wa Mara ambapo kuna wataalamu wa afya tunatumia kundi sogozi kupeana taarifa za dharula za wagonjwa kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa,” anasema Dkt. Kengeru.

Anaendelea kusimulia, “mfano mgonjwa wa pembezoni anatoa taarifa na tunaandaa utaratibu na kuanza kumhudumia mgonjwa akiwa njiani kwa kuwasiliana na wataalamu wa afya waliopo maeneo ya karibu na mgonjwa kwa kumpa huduma ya kwanza na hivyo kupitia kundi hili tumefanikiwa kupunguza vifo vya mama na mtoto kabla ya mgonjwa hajafika hospitali”.

Charles Manumbu ni mkazi wa eneo la Kwanga mkoani Mara anasema, “Huduma alizopata mke wangu zilikuwa nzuri sana, tunashukuru wahudumu wa hospitali hii. Lakini pia mimi nilipata kazi wakati wa ujenzi wa hii hospitali kwa kweli tunaishukuru Serikali kwa kuleta miradi na kusaidia vijana tunanufaika kwa kupata kipato na hivyo kutunza familia zetu lakini pia kusogeza karibu huduma za afya”.

Naye, Mgeta Masatu mkazi wa Musoma anaeleza, “Hospitali hii imeanza kutoa huduma za mama na mtoto, kwa kweli shida iliyokuwepo awali ni kutokuwa na hospitali karibu na hivyo ilitulazimu sisi kutumia gharama kubwa kupata huduma hizi lakini pia wakati mwingine kusababisha vifo vya akina mama wajawazito, namshukuru Mhe. Rais kwa kutupa huduma hii mkoani Mara.

Hospitali hii ya Rufaa ya Mkoa wa Mara inatajwa kuwa na vifaa vya kisasa na wataalamu wabobezi katika kutoa huduma za mama na mtoto.

Muuguzi Kiongozi wa Kitengo cha Kangaroo Mothercare, Anastella Ishengoma anathibitisha hilo kwa kusema wamekuwa wakihudumia wanawake wajawazito kutoka maeneo mbalimbali kwa kutumia vifaa bora vya kusaidia kukuza watoto wanaozaliwa kabla ya wakati yaani njiti na hivyo kuwa mkombozi kwa wanawake wengi wa mkoa huo.

About Author

Bongo News

47 Comments

    ラブドール 中古They will,even in light of factual evidence to the contrary,

    Sex dolls have come a long way from being just simple toys to ラブドール sexlooking incredibly real, showing off just how good technology has become.

    In Japan, Hatsune Miku is the most popular cyber celebrity. 人形 エロShe has over 2.5 million fans on Facebook alone. In addition, she has also hosted countless concerts.

    If sex dolls use technology like ChatGPT in the future, it could セックス ボットhave a significant impact on human relationships and the future of intimacy. Among the potential consequences are

    or people’s tendency to weigh earlier information more heavily than later information.That is,ラブドール 高級

    実際の女性から型取りされてラブドールが製造されているので再現性が非常に高いオナドール

    ensuring that users receive a product that aligns with their オナニー ドールexpectations and desires.

    オナホ 高級which I found exceedingly interesting and provocative.Reiss analyzes so-called sexual promiscuity,

    Finally, love dolls can be great for individuals who’re simply just trying 初音 ミク ラブドールto find extra range inside their sex existence. Having a love doll, you may Check out different positions,

    人形 エロIt just isn’t for me.”Ingredient,

    ラブドール エロYou may be surprised,but we’re going to end on a positive note,

    When you look at a happy couple and think,“They’re going to be together forever,ラブドール 中古

    The familiarity of having a ‘companion’ can be comforting, particularly for jydollthose suffering from conditions like dementia, where a doll can provide a semblance of normalcy and emotional support.

    72.ラブドール 値段Love knows no roads,

    ラブドール エロand the quality and service were impeccable.The doll’s realism is outstanding,

    scholars and program providers,want to identify programs that could bring about large reductions in unintended adolescent pregnancy For at least two decades now,ラブドール えろ

    000 years old.ラブドール オナホ The word dildo,

    Sex-cessful couples work their musclesWorking out increases sexual arousal in women and helps combat erectile dysfunction in men.中国 エロBut more important,

    In that vein, it’s important to take note of what toys are made ofラブドール av when buying them. Silicone toys, for instance, should never be used with silicone lube,

    ラブドール エロIf you believe that you’ll never get married and that everyone you know who is married will stay married forever,facts aren’t on your side.

    エロ 人形you should try to find a middle ground.Experiment: If intercourse is painful,

    it’s important to lower the number of negative interactions you have with your partner and counteract the negative interactions you have with positive ones.エロ 人形As you’re working to lower your negativity,

    That’s even more true now… We count on each other,ランジェリー エロand that makes our problems – whatever they may be – much smaller and more solvable.

    like desserts and sweetened beverages.ラブドール えろDon’t worry so much about the sugar in your condiments or salad dressings.

    try staying in one of Savannah’s five most haunted hotels.セクシー ランジェリーThey might just deliver the fright of your life.

    As mentioned in a recent post by Roger M.ラブドール 女性 用Cahak,

    Be sure to locate a place that offerエロ 人形 ample support for her system when standing. We really propose the following 6 spectacular sexual intercourse positions that you should check out with your real love doll:

    “Artistic Innovations in the Digital Era” is an enlightening blog that delves into the evolving relationship between art and technology.Alex’s posts are thorough and thought-provoking,ラブドール エロ

    and a bearable attack of the flu.Of course,ダッチワイフ

    t バックBook a stay at Congress Hall,especially if you have kids.

    My husband and I had a night out, we both got drunk but I think he was a オナドールbit more than myself. So although he was hard, he was too drunk to perform.

    The level of detail is exceptional,The site’s intuitive design made the customization experience straightforward and enjoyable.ラブドール えろ

    I gasped a little and he got nervous and asked me if I was hurtロボット セックス. He moved slowly and after a short few seconds I was luckily able to enjoy our sex.

    Wondering where to begin? These three articles will lead you to all of the DWN home fruit growing information:1.What Is Backyard Orchard Culture? Explanation of a simple,ラブドール 高級

    オナホWishing you moments of rest and rejuvenation during this festive season.May the holiday spirit inspire new opportunities and fruitful collaborations.

    I just saw “that means you’re gay”,’ 女性 用 ラブドールhe tells me rom his plant-filled bedroom. ‘So, it took until I was 25 to come out, and people still find it hard to believe that [bi men] exist.’

    ラブドール えろTheir commitment to affordability and accessibility ensures that high-quality dolls are within reach for a wide range of customers,enhancing the overall value of their products.

    ” often fruitlessly.Feeling somewhat helpless,女性 用 ラブドール

    As they lash out,they will show no concern or empathy because they have none.ラブドール 中古

    Our screening group critiques the very best prostate massagersエロ 人形 of 2024 so you could find the best one particular for your requirements.

    Instead,it has more coverage and lends a more youthful and trendy look than traditional cuts,sexy velma

    sexy velma cosplaywicking moisture away from the skin and letting it evaporate,and being naturally hypoallergenic and anti-fungal,

    and people who exercise need more calories than people who don’t.ラブドール エロThe source of your daily calories are also important.

    effective,and acceptable non pharmacological option” for premature ejaculation.人形 エロ

    ”The Cruz V2 includes a large storage basket and a canopy,and Ivy used it with the optional bassinet (which is sold separately).服 えろ

    so eventually I just stopped telling people about our decision altogether.ラブドール えろThe sexual tension between my fiancé and I certainly didn’t make keeping our lips apart or our hands off each other easy.

    Finally,エロ ラブドールthe last question that the participants were asked to answer was if the decision to purchase the sex doll was made after they talked to their partner about it.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *