Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter
Kisenge akimpima kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi
(Echocardiograph – ECHO) mkazi wa Kilimanjaro aliyefika katika Hospitali ya Rufaa
ya Mkoa Mawenzi (MRRH) kwaajili ya kupima moyo wakati wa kambi maalum ya
upimaji na matibabu ya moyo inayofanywa na wataalamu wa afya wa JKCI kwa
kushirikiana na wenzao wa MRRH
Wananchi zaidi ya 7000 wafikiwa na huduma za uchunguzi na
matibabu ya moyo kupitia huduma ya tiba mkoba ijulikanayo kama Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan Outreach Services inayofanywa na Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI).
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) Dkt. Peter Kisenge leo wakati akifungua kambi maalum ya uchunguzi na
matibabu ya moyo inayoendelea mkoani Kilimanjaro katika Hospitali ya Rufaa ya
Mkoa Mawenzi (MRRH).
Daktari wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi (MRRH) Anandumi Mmari akimpima kipimo cha kuangalia jinsi mfumo wa umeme wa moyo unavyofanya kazi (Electrocardiography – ECG) mkazi wa Kilimanjaro aliyefika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi (MRRH) kwaajili ya kupima moyo wakati wa kambi maalum ya upimaji na matibabu ya moyo inayofanywa na wataalamu wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa MRRH
Dkt. Kisenge alisema JKCI imekuwa ikifanya huduma ya tiba mkoba katika mikoa
mbalimbali ya Tanzania ambapo hadi sasa mikoa 11 ya Tanzania bara na Zanzibar
imeshafikiwa na wananchi takribani 700 kupewa rufaa kufika JKCI kwa ajili ya
matibabu zaidi.
Dkt. Kisenge ambaye pia ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo alisema kambi
hiyo ya matibabu ya moyo ni muendelezo wa tiba mkoba ijulikanayo kama Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan Outreach Services yenye nia ya kuwafikishia wananchi
wa mkoa wa Kilimanjaro huduma ya tiba bobezi ya magonjwa ya moyo mahali
walipo.
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Kilalo Barati akimpima shinikizo la damu mkazi wa Kilimanjaro aliyefika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi (MRRH) kwaajili ya kupima moyo wakati wa kambi maalum ya upimaji na matibabu ya moyo inayofanywa na wataalamu wa afya wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa MRRH
“Nia ya JKCI kufanya kambi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi ni
kuhakikisha kuwa tunaendeleza ujuzi kwa wataalamu wa afya wa hapa Mawenzi
pamoja na kuwasaidia wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro ambao wana magonjwa
ya moyo”,
“Mwitikio katika Mkoa huu wa Kilimanjaro umekuwa mkubwa sana ndani ya siku
mbili tayari wagonjwa 600 wamefika katika Hospitali hii kwa ajili ya kupatiwa
huduma, wagonjwa wengi wanaofika tumewakuta na shinikizo la damu na hii
inatokea katika kila mkoa tunaoenda ugonjwa wa shinikizo la juu la damu
umekuwa changamoto kwa watu wengi hivyo kupata madhara ya moyo
kutanuka”,
Dkt. Kisenge alisema kuwa JKCI Itaendelea kufanya kambi hizo katika mikoa
mingine iliyobaki lengo likiwa kuendeleza dhana ya kufikisha huduma za kibingwa
kwa wananchi pale walipo.
“Katika kambi hii pia tunatoa huduma za uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya
moyo kwa watoto ambapo kwa siku hizi mbili watoto waliofanyiwa uchunguzi
wengi wao wamekutwa na matundu kwenye moyo”, alisema Dkt. Kisenge
Kwa upande wake Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi Dkt.
EdnaJoy Munisi aliishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya
uongozi wa Rais Dkt. Samia kwa kusogeza huduma karibu na wananchi.
Dkt. EdnaJoy alisema Mwitikio wa kambi maalum ya matibabu ya moyo umekuwa
mkubwa tofauti na ilivyotarajiwa lakini timu ya wataalamu wa afya wa Mawenzi
kwa kushirikiana na wenzao waliotoka JKCI wamejipanga kuhakikisha kuwa kila
mwananchi anayefika katika Hospitali ya Mawenzi anapatiwa huduma kwa wakati
na kwa ufanisi.
“Tunawasihi wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro na mikoa ya jirani kuendelea
kufika katika Hospitali ya Mawenza kupata fursa ya kupima moyo kwani ni fursa
ya pekee hasa kwa watu wazima ambao mara nyingi hushindwa kusafiri kufuata
huduma mahali zilipo”, alisema Dkt. EdnaJoy
Naye mwananchi aliyefika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mawenzi kwaajili ya
kufanya vipimo vya moyo Helen Kavishe alisema furaha ya watu wa Kilimanjaro
haieleziki kwa kufikishiwa huduma ya kibingwa ya uchunguzi na matibabu ya
moyo ambayo wengi wao hawakutarajia ingekuwa rahisi hivyo kupata huduma
hiyo.
Helen alisema kutokana na wingi wa watu imemchukua siku mbili kupata huduma
lakini kutokana na umuhimu wa matibabu ya moyo haikuwa shida kwa wananchi
wa mkoa wa Kilimanjaro kurejea tena siku ya pili ili kufanikisha matibabu hayo.
“Tunaomba huduma kama hizi wakati mwingine zipelekwe na maeneo ya vijijini ili
wote kwa pamoja tuweze kufaidika na matibabu haya ya kibingwa kwani
kiuhalisia tunaona hapa uhitaji ni mkubwa na wagonjwa ni wengi”, alisema Helen
18 Comments
ランジェリー エロIshiyama is also on the board of the Asian Pacific Fund.Chef Lalita Souksamlane is already well-established in San Francisco,
To help narrow down your choices,we spoke with two of Travel + Leisure’s trusted A-List advisors,アダルト 下着
ラブドール エロIn addition to self-aggrandizement,narcissists are prone to cognitive distortions such as catastrophizing,
safe and affordable foods in pre-schools,浜哄舰 銈ㄣ儹schools,
The doll’s skin texture is lifelike,and the facial features are incredibly detailed.ラブドール 中古
ラブドール 中古” Additionally,“some anthropologists and sociobiologists believe that breast fetishism derives from the breasts’ similarity [in their rounded shapeliness] to buttocks [and their] provid[ing] sexual attraction from the front of the body.
頭にはめ込む部分があるので、そこにガチンとはめこむだけです。ねじったりする必要はありません!えろ 人形
ダッチワイフfrom foundational theories to contemporary applications.I was particularly impressed by how you incorporated various viewpoints and integrated both traditional and modern perspectives,
there are a few things to bear in mind before sending these holiday messages.Firstly,人形 エロ
ドールの品質についても、comは一切の妥協を許しません.中国 えろ各ドールは最高品質の素材で作られており、非常にリアルな外観と触感を実現しています.
ラブドールand the information you provided is incredibly valuable.Thank you for sharing your knowledge.
It’s clear that you dedicated a significant amount of time and research to ensure the accuracy and depth of your content.ラブドールThe clarity and thoroughness with which you presented the information were outstanding.
A male sex doll designed for gay men does represent a えろ 人形financial investment so ensure you don’t store it clothed or wearing accessories,
This correct positioning makes a world of difference when it comes to sex.エロ 人形 In the meantime, all their other dolls (non-Amor) still have decent LHP.
Nagpur,etc).オナホ ラブドール
just add tap pants for a delicate lounge set to slip into after a cool shower.Our new Heather camisole and Heather tap pants are the perfect luxury loungewear pieces for a warm summer’s night.sexy velma
ラブドール 無 修正and you’re not coming back,not ever.
ラブドール エロa husband may avoid a narcissistic woman with work.To compensate,