Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amewataka wananchi kupiga kura za hapana katika mitaa ambayo wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamebakizwa pekee baada ya vyama vya upinzani kuenguliwa.

Zitto ametoa wito huo siku ya Jumanne Novemba 26, 2024 wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024- 2029 uliofanyika katika uwanja wa Mwanga Community Centre uliopo katika kata ya Mwanga Kaskazini, Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma.

“Kwahiyo ukiingia kwenye eneo la kupigia kura, ukakuta mtaa mgombea ni wa CCM peke yake, maelekezo ya chama ni kupiga kura ya hapana. Kura za hapana zikiwa nyingi, mitaa hiyo uchaguzi utarudiwa,” amesema Zitto huku akisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kudhibiti ushawishi wa CCM katika maeneo yenye upinzani mkubwa.

Zitto amewaambia wananchi kuwa haitakiwi mtaa wowote katika Manispaa ya Kigoma Ujiji kuongozwa na CCM. Amewahimiza wapigakura kuunga mkono wagombea wa vyama vingine vya upinzani pale ambapo ACT Wazalendo haina wagombea.

“Ukifika kwenyw kituo cha kupigia kura, ukakuta hakuna mgombea wa ACT Wazalendo, angalia mgombea wa chama kingine chochote cha upinzani, mpe kura. Lengo letu mji wetu tuondokane na CCM kabisa”, ameongeza Zitto.

Zitto amefafanua kuwa uchaguzi huu wa serikali za mitaa una maana kubwa mbili kwa wakazi wa Kigoma. Kwanza, ni fursa ya kulipiza kisasi dhidi ya matukio aliyoyataja kuwa ya “wizi wa kura” kwenye uchaguzi wa 2020 kwa kuwapigia kura wagombea wa upinzani. Pili, ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2025 kwa kuhakikisha kuwa ACT Wazalendo inakuwa na wajumbe wengi wa maendeleo ya kata (Wanaotokana na wenyeviti wa mitaa) ambao watawasaidia madiwani wa kata kama watachaguliwa mwakani kwani uchache wa wajumbe hao utawapa wakati mgumu madiwani wa ACT.

Aidha ameeleza kuwa watu wa CCM wameishiwa hoja za kuwashawishi wananchi ili waendelea kuwapa mamlaka isipokuwa kutegemea vyama vya upinzani kutotangazwa washindi ikiwa vitashinda, na kutegemea kura za bandia. Kutokana na hilo amewaambia watu wa CCM kuwa njama hizo hazitawezekana kwani ACT imejiandaa vyema kukabiliana nazo.

“Wananchi wote wa Manispaa ya Kigoma Ujiji nenda kapige kura, chukua kura yako moja, mchague unayemtaka, usithubutu kuingia na kura ya ziada, kwasababu yatakayokukuta tusilaumiane”, ameonya Zitto.

About Author

Bongo News

6 Comments

    Кто ты есть на самом деле? В чем твое предназначение?

    В каком направлении лежит твой путь и как тебе по нему идти?

    Дизайн Человека расскажет об этом!

    – Уменьшает внутренние конфликты
    – Снимает давление социальных стереотипов – Приносит чувство согласия с собой – Позволяет жить в
    согласии со своей природой
    – Позволяет выстроить эффективную стратегию жизни и карьеры
    – Приносит чувство согласия с собой – Помогает понять
    свои природные таланты и способности
    – Приносит чувство согласия с собой – Даёт опору на природные механизмы

    Существует двенадцать профилей.
    Профиль делает вас уникальным.
    Зная профиль человека, можно как минимум описать его характер и особенности.

    Кто ты есть на самом деле? В чем твое предназначение?
    В каком направлении лежит твой путь и как
    тебе по нему идти?
    Дизайн Человека расскажет об этом!

    – Даёт право быть собой – Снимает чувство вины
    за “неправильность” – Помогает понять свои природные таланты и способности – Позволяет жить в согласии со своей природой – Даёт конкретные рекомендации по принятию решений – Позволяет выстроить эффективную стратегию жизни и карьеры – Помогает понять свои природные таланты и способности –
    Приносит чувство согласия с собой – Укрепляет доверие к себе

    Дизайн Человека позволяет принимать решения в условиях неопределённости, опираться на себя и
    свой внутренний компас.

    This information is invaluable. How can I find out more?

    Great goods from you, man. I’ve understand your stuff
    previous to and you’re just extremely wonderful. I really like
    what you have acquired here, really like what you’re stating and the way in which you
    say it. You make it entertaining and you still care for to keep it sensible.
    I can’t wait to read far more from you. This is actually a wonderful
    site.

    If you wish for to improve your knowledge simply keep visiting this website
    and be updated with the most recent gossip posted here.lingerie 

    Mom is the authority, and she’s demonstrating it by exhibiting
    us how to do it in the bedroom nowadays! In our Hot Mother Porn movie category, watch out
    for some sexy MILF pornstars and amateur women. By the time
    we’ve finished with you, you’ll been begging for Mommy because
    this XXX libraries has taken the Oedipus advanced to a whole new level.

    Did you finish your chores yet? This set is full of darling
    sing and horny stepmoms. https://sc.sfc.hk/TuniS/slptraininggroup.org.uk/short-duration-course-achievement-grant-claim-advice/

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *